Kilichotokea Tarehe 5 ya March kinaonyesha Dhahili kwamba watu
hawa pitii Tovuti hii.
Mbona sisi hatujui lkolote kuhusiana na Shindanao hili la
Tovuti,Alisikika mmoja wa WANAMIDAHALO MKONGWE akisema hayo.Hii
inanipa Changamoto nikiwa kama Mratibu na Web master kutafuta njia
Nyingine za kuwafanya watu wawe wanapitia web hii.Tutaendelea
kuweka matangazo muhimu na Mashindano yatakayo tolewa Zawadi!So
keep on tuned
Jiandikishe utumiwe mwalika wakila Mwezi na mambo mengine Mengi
click here .
Go to
home page
|